Iki biashara yako idumu miaka kumi ijayo fanya yafuatayo

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Mwaka 2010 asilimia 5% tu ya biashara zilikuwa zinatumia social media. Leo 2024 asilimia 98% ya biashara zote zinatumia social media.


Leo 2024 asilimia 5% tu ya biashara zinatumia AI


Kama unataka kuanza freelancing
Hii ndo niche sahihi ya kuishi nayo miaka kumi ijayo.

Karibu DM
 
Mtoa mada naomba Maelezo kidogo yenye mafunzo tafadhali ...

#YNWA
 
Unazingua, kichwa na body haviendani yani ni sawa na kichwa cha scania engine ya isuzu.
Kwamba ili biashara zetu zidumu tunatakiwa kukufata dm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…