Ikifa CHADEMA sisi wengine tutakuwa na Maisha magumu sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Wengine hawafikirii hili suala. Leo tunaamka tu asubuhi Chadema haipo. Mnadhani tutaanza kuishi vipi? Buku 7 tutazipata kweli kwa kumshambulia mrema?ambaye tayari ana mashambulizi toka ndani yake mwenyewe?

Tuacheni ujinga ndugu zanguni.kweli tunaweza pata hata buku 3 kwa kumshambulia lipumba?huyu naye si alishajishambulia mwenyewe?

Tujiangalie wadau hii ndo ajira yetu.mnaweza kata mbuyu na ukawa mwisho wa kazi tukaambiwa "asanten kwa kuja"

Au tunajidanganya kuwa tutapata buku 7 kwa kumshambulia hatia? Nani atatoa hata buku 5 kwa ajili ya mbatia?twendeni mbele na kurudi nyuma jaman. Chadema isiuawe maisha yetu yatakuwa magumu kwenye mitandao na tutaanza kushambuliana sisi kwa sisi.

Nawaomba wadau tukumbuke hili. Tukimaliza hao tutabakiwa na nini? Tutamzodoa nani? Tutamtia kashkashi nani?
 
Ife mara ngapi ? Hayo maisha magumu vipi chadema walikuwa wanakuletea chakula hapo kwako na kukulipia kodi
 
Hii buku 7 unalipwa sababu ya kuinanga cdm so ikifa utaipata wapi
Mkuu mbona inajulikana kabisa kuwa chadema ishakufa bado kuzikwa tu au unataka Hadi aseme Dj wako ndo uamimi
 
Ife mara ngapi ? Hayo maisha magumu vipi chadema walikuwa wanakuletea chakula hapo kwako na kukulipia kodi
Chadema ikifa watanzania mtanyanyasika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…