Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

Muanzisha uzi pengine nami niseme jambo moja tu. Lisu ni professional na well trained soldier. Ni mwana usalama tangu akiwa chuoni.

Siwezi kulisemea la kuwa planted ila TL, Dr Slaa, Sumaye, Zitto Marin Hassan Malin wote ni maaskari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naishi Dar es salaam kijana.

Mkubwa, binadamu ndivyo tulivyoumbwa kubadilika badilika....

Nani kakudanganya kwamba wewe Chima GM wa leo ndiye utakayekuwa hivyo kesho ?

Ndiyo maana leo umeoa/olewa na kesho pengine ukaachana na mkeo/mumeo.....

Ndiyo maana leo una uhai na kuvuta oxygen ya Mola wako kwa raha zako, lakini kesho waweza jikuta umenyang'anywa hiyo oxygen na tunakurudisha mavumbini.....

Yako mengi yanayoweza kukubadilisha na kubadili mwelekeo wako, lakini hakuna wa kukuhoji kwa sbb ndiyo nature ya binadamu awaye yeyote...!!

Sasa sina hakika kama unatambua wote hawa uliowataja ktk bandiko lako kuwa ni binadamu tu wenye utashi wa maamuzi yao wenyewe. Sielewi unapata wapi uhalali wa kuhoji maamuzi ya mtu binafsi ili mradi hajavunja sheria yoyote ya nchi hii pengine na za dunia !!???

Kumbuka kuwa, kanuni ya maisha iko wazi sana.....

Kwamba, leo tunaweza kukubaliana lakini kesho tukatofautiana......

Leo tunaweza kuwa na uelekeo mmoja, lakini kesho kila mtu akashika njia yake !!

Kwa hiyo, tunaishi kwa ajili ya leo/sasa. Hatuishi kwa ajili ya kesho kwa sbb hatuijui hiyo kesho !!

Sisi tunamwona na kuishi na Tundu Lissu wa leo, Edward Lowassa wa leo, Frederick Sumaye leo na wengine wote uliowataja na ama Chima GM wa leo.........huyo wa kesho ama jana hayupo, haonekani !!

Kwa nini unataka tufikiri jambo ama tumfukirie mtu asiyekuwepo ?? What is your mission ??
 
Nimengoja kitu kama hiki muda mrefu sana.

Mwenye masikio na asikie...
 
Takumwa, na waliomtuma ni wa kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL sio planted TISS

Ila Mbowe, sumaye na Lowassa hao ndo iko wazi
R Mr lissu hata walimu walimuogopa kuwa amewekwa Na mwalimu nyerere kuchunguza mienendo ya shule ,nakwambia ukikutana Na tundu lissu muulize kuwa kipindi unasoma, walimu shuleni walisemaje? Na walikutuhum VIP?
 
Alafu kuhusu seif huyo ndo anajulikana kabisa toka enzi za mwalimu Nyerere, seif ni TISS uliza yalompata avoid jumbe
 
Kawaulize Resolute Gold mine walimpatia kiasi gani cha rushwa ili kuachana na Issue ya kampuni hiyo kutililisha maji yenye zebaki katika bwawa la kilimi wilayani Nzega ambalo maji yake ndio tegemeo la wakazi wa Nzega.
Lisu na taasisi yake baada ya kuonyesha kukomaa alizimwa kwa pesa na serikali ya mkapa ikamsimamia kushinda ubunge katika jimbo la singida mashariki
Mkapa akiwa mwenyekiti alitumia rasilimali za nchi kuhakikisha lisu anakuwa mbunge
Hii ilikuwa ni zawadi kwa Lisu Pranted
Siasa za Africa ni upuuzi mtupu kila mmoja ni kibalaka kwa sababu ya rushwa ambayo haikuwahi kumuacha salama mwanasiasa yeyote katika Africa zaid ya Nelson Mandela na Muamal alghadafy
 
Sidhani kama lipumba alikua pandikizi toka zamani. Baada ya kujitoa cuf alidhani chama kinge yumba. Alipoona wamefanikiwa zaidi roho ikaanza kumuuma akikumbuka jinsi alivyo kipigania chama. Kwahiyo akalazimika kutafuta njia yoyote ili aingie tena chamani, hapo ndipo wazee wenye suti na miwani myeusi walipo mpatia bahasha ya khaki naye hakua na jinsi kwa kua aliitaji msaada wao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…