Ikikutokea hii HALI NA MKEO/MPENZIO how i'd u react?

Gosh ni kweli usemayo Sio njema kabisa Nguli haileti picha nzuri katika mahusiano ..Ila siku akija Denzel Washington nitaomba muzee anipe chance nikamkumbatie kidogo tu .....sijui mapromota watamleta lini ?
Pole Nguli kama yamekukuta..
Nakusoma bila miwani!!
Ni nini kinachokupelekea kuhisi kumkumbatia denzel?
Kuna wanawake wengi sana nimewasikia wakisema Denzel yupo poa sana.........wakimaanisha ni handsome/mzuri (sijui kama wanaume wanakuwaga wazuri!!)

Ki ukweli, wanakuwa wanatamani angekuwa mwanaume amabye wangempata au at least wa namna hiyo.

Sasa tueleze mama, wewe utataka kumkumbatia coz ana movie nzuri au coz unavutiwa naye ...kivipi, mo simo!!
 
....ahhh, huo ni unyanyasaji wa kiakili bana, haivumiliki! ...ni sawa na mkeo kutwa kucha anasifia kupita kupitiliza wanaume wa kwenye tamthilia za televisheni kina "Juan Miguel" au "Brad Pitt", as if wewe ni pakashume tu hapa duniani!
Exactly, I concur with you....huo ni uzalilishaji wa kijinsia. Hivi unajua wanawake wanapenda kusifiwa wao tu, jaribu kuangalia movie naye, then umuone demu bombo sana, na useme duh..huyu demu mkali ile mbaya utaona moto wake, au umsifie msichana anayemjua utakoma kuringa!
 
Nitamwendea na kuchukua funguo zote alizonazo na ATMs cards za joint accounts, then atanikuta nyumbani nikiwa nimeshafunga milango....! Huenda ukawepo ukimya usiovunjika daima.
 


Nadhani kuna dada mmoja alifanya kama huyu hapa siku ya onyesho la Fally Ipupa pale Moven pick kama sikosei ilikuwa aibu sana, tena alipopanda kwa kunaguka chini Fally Ipupa akashika kiuno cha huyo dada kisawasawa, nilijiuiza kama alikuwa na mumewe/BF it was not fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…