Ikikutokea wewe Utafanyaje?

Halafu ni she kama Mimi,simjui,hanijui zaidi ya I'd tu!kupenda ugomvi ugomvi tuu!mi sipendiii!!
Jamaaani mpotezee tu si unajua mambo za jf hatujuani lakini kama tunajuana tu mambo za nyuma ya keyboard
 
Appreciation is good enough to me, zaidi ya izo hela.
ntamrudishia 1,350,000/=
na urafiki utaishia hapo.
 
Ndio leo nakwambia sasa ili ujijue hahaha eti umeamua kumkataa shetani na kazi zake zote

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Eeeh bhana halaf na ile signature sijui ni ya nani ilikua inanirudia rudia kichwani "I have decided to stick with love, hate is too great a burden to bear!"
 
Nakata pesa yangu yote then namrudishia kinachobaki chote.
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Eeeh bhana halaf na ile signature sijui ni ya nani ilikua inanirudia rudia kichwani "I have decided to stick with love, hate is too great a burden to bear!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119] Hallelujah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…