"Ikimegwa haifanyi alama"

kuwagharamia hawa viumbe unajisumbua,haswa anayetakataka vitu hafai!nenda kijijini kachukue mke wa kukaa home tuu
 

Alama ipo kulingana na saizi ya kimegeo. Ngoja akutane na oversize uone ukikutana naye utakavyopwaya.
 
aibu....duh wananyodo hawa wacha ttuu
mie ndio.maaana nachapa alafu tamba
 
ningekuwa mm kabla hajamaliza heruf ya mwisho nshamtandika na kumshindilia ngumi,adabu gan hiyo ya mtoto wa kike,aaalaaaa.....we nae umezid kuwa weak mpk anakujibu hovyo hvo
 
Una wasiwasi sababu unampenda au sababu umemgharamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…