"Ikimegwa haifanyi alama"

Kuna dem kanichanganya, msukuma yaani ni balaa tupu

Hivi Nyani kwa nini huoi?? Kwa experience niliyonayo mtu anayekaa sana mtandaoni hawezi kuwa na mwenza..
 
Boflo kwa kamba! Huyo Msukuma wako umempata wapi na lini na anaitwa nani?

I swear Nyani, nimekutana naye chuo, Ana sifa lukuki, kwa uchache sauti yake tu inaweza kumtoa nyoka...., mrefu, ana kibyongo, .......mengine ni siri yangu
 
Mwanamke anaekupenda kwa dhat atakusikiliza na kukueshimu...try to review ur manhood swags..wanawake wanapenda a man enaf!!!am woried somewhere something is wrong...na kama unaish nae unaonekana kbs muda huu haupo nae..wkend nzuri kama hii...wanamt.mb huko saa izi!!!
 
I swear Nyani, nimekutana naye chuo, Ana sifa lukuki, kwa uchache sauti yake tu inaweza kumtoa nyoka...., mrefu, ana kibyongo, .......mengine ni siri yangu

Boflo bana....unanichekeshaga sana. Hongera lakini.
 
Alikujibu hanijui....

Nguli ni rafiki yangu, anakujua sana, uliwahi kuja Bongo ukawa unazunguka naye,

Nikamuuliza body yake ikoje? .....Una manyama mengi mwilini
 
Nguli ni rafiki yangu, anakujua sana, uliwahi kuja Bongo ukawa unazunguka naye,

Nikamuuliza body yake ikoje? .....Una manyama mengi mwilini

Ahahahahahaaaa Nguli hanijui nje ya mtandao. Sijawahi kabisa kukutana naye kwa hiyo hata kuzunguka naye sijawahi.

Halafu kwa nini uliulizia body yangu wewe Boflo? Ama kweli umedata wewe.

Na wala sina manyama mengi mwilini. Huo ni uongo mtupu. Kwa hiyo ninakuambia kwa uhakika kabisa kuwa huyo rafiki yako alikudanganya (kama kweli ulichosema kina ukweli).
 
Siwezi kukudanganya........naweza kukupa hata namba ya Nguli kwenye fesibuku umuulize, au nikupe kwa pm ukitaka?
 
Siwezi kukudanganya........naweza kukupa hata namba ya Nguli kwenye fesibuku umuulize, au nikupe kwa pm ukitaka?

Nguli hanijui bana. Hajawahi kuniona ana kwa ana hata siku moja.
 
mwanaume learn ths!usianze kumgharamia mwanamke b4 hamjaoana,kama ukimpa fanya kama sadaka never recal it,mana utaja umia,coz najua pamoja na kumpenda kinachouma zaid ni unavyojibna hata kuwanyima ndugu zko damu ma2miz 4 her afu mwshni analeta poz,ujue sie kumwaga demu ni ndani ya cku mbil 3 umesahau.
Lingne ukiwa nae karibu akakujibu lugha chafu namna hyo,we chapa vibao kama vitano vya nguvu then kaa kwenye mlango alie vya kutosha then akinyamaza mbembeleze,kimya kimya atakuheshmu na kujua nipo na mwanaume c mvulana.
Ushaur kama haupo nae karibu ok punguza wivu wasiliana kwa tabu hvyo hvyo ila cku ukiwa nae ndo wakati wko wa karibu kumwambia napenda moja mbili 3.
 
thanx......i appreciate ur advice
 
huna mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…