"Ikimegwa haifanyi alama"

hiyo kitu haina makombo wala haki-miliki, so acha amegwe tu ili mradi na wewe ukihitaji unapewa kwa wakati wako
 
Pole, Boflo achana na huyo Mwanamke Hafai hata kwa kulumangia.
 
Asilimia 95 ya wanawake si waaminifu espcially wa bongo kwahiyo usijipe pressure cha msingi we mu caution asikulete maradhi na pili usipende kama kichaa muambie kabisa kwamba she should play it safe and secretlly na kwamba ukigundua hutosita kumpa red card i mean kumaacha kama unavojua sheria za mpira red card hata ikitolewa kimakosa hairudishwi and you must mean it
 

thanx......i appreciate ur advice
 
hujui mapenzi yanavyotesa tu mapenzi ya kweli ni kero kwa asiyekupenda that is the lesson that i have learned
 
Boflo!
Kila mtu ataubeba msalaba wake, biashara ya kumgaramia msichana n = na kutupa pesa toilet.
 
mapenzi yanatesa kaka yangu vumili tu abadilike ana gtambaue kwamba unachomwambia kina mantiki akishindwa kukuelewa achana nae kama unaweza
 

Usijitie presha ndugu,piga chini angalia ustaarabu mwingine!!
 
(Nimehuzunika sana na kusikitishwa sana na kauli hii Cause MPAKA SASA HIVI NIMEMGARIMIKIA SANAHUYU MTU.)

kUTOKANA NA KAULI YAKO KINACHOKUUMA NI JINSI ULIVYOWEKEZA KWAKE NA SIO MAPENZI YAKO JUU YAKE.

Pole sana , Give yourself time utapata majibu ya nini ufanye
 
Nipo Zimbabwe hapa nasubiri lile zali la kubakwa na wanawake. Si uliskia zimbabwe madem wanabaka?

Wewe mtata sana, ninakufahamu kinaga ubaga

Nirushie namba yako ya simu nataka tuongee issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…