Ikitokea Anthony Joshua Vs Froyd Money Mywethr wapo ulingoni nani atanyanyaswa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za asubuhi wakuu

Natumani ni wazima wa afya niko hapa kuona mawazo yenu juu ya ninachokiwaza kuhusu hawa wana masumbwi bora kabisa kwa sasa ulimwengu lakini katika uzito tofauti mmoja akiwa anashikiria record ya,kutopigwa katika uzitoo wa kati.

Na mwingine akiwa na record ya kutopigwa katika uzito wa juu.

Je ikitokea mmoja akakubali kuongeza kilo ili apigane na mwenzake au mmoja akakubali kupunguzi kilo ili apigane na mwenzake kwa mtazamo wako unahisi nani ataambulia kipigo na kuivunja record ya mwenzake?

Naomba tutoe maoni kistaarabu nijenge nikujenge tujenge na tunjengane sio una view post yangu ili unitukane itakuwa sio issue
 
Kama uzito ukiwa sawa Joshua anapoteza kwa point, Mayweather ni ngumu sana kumpiga kwakuwa anajua kudodge ngumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavosema wanamasumbwi bora kwa sasa una mana wakati Floyd ni mstaafu??.

Ama kwenye rank za WBC WBA WBO IBF na RING yupo??????


Okay....kwakua wote wako uzito tofauti...ili kuwapima inabidi utumie kipimo cha "POUND FOR POUND"...

Kwenye kipimo cha P4P...well tusiende mbali sana technically mana Floyd ana maajabu makubwa sana ..aliwakalisha kina Zab Judah, Shane Mosley, Oscar De La Hoya, Maidana, Ortiz, ambao walikua wanatisha.....

Ila Joshua well bado hajafikiia levo za kuwekwa kwenye P4P na Floyd
 
Hujamuelewa mtoa mada kasema kama mmoja akipunguza uzito wakalingana then waende ulingoni
Tumia commonsense basi.....Joshua ni heavyweight...Floyd alikua anachezea Welterweight ama Super welterweight aka Junior Middleweight.

Ivi toka lini "natural heavyweight" anaweza kushuka chini mpaka "Welterweight"......unataka afe sio baada ya figo kufeli kwa kukata weight?

Unazielewa ngumi kweli ww?

Huyo Joshua ubavu wa kushuka kwenye Cruiserweight tu hana sembuse iyo Welterweight? Hata light heavyweight hana uwezo wa kushuka maana jamaa, he is naturally a "big man" sio "dwarf" kama kina floyd.

Kwa kukusaidia ukitaka kuwapima watu wa uzito tofauti unatumia kipimo cha Pound for Pound
 
Kama wangekuwa na uzito sawa
Mayweather angeshinda ilo pambano
Jamaa ni very defensive
Huwezi kumpiga ngumi kirahisi
Na anajua sana kucheza na points


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
May weather atadondoka raundi ya 1 KO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…