ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake. Soma hapa Wenje: 2020 Tulimchagua Tundu Lisu Kwa zaidi ya 90% ya Kura agombee uRais Kwa sababu Lisu anafanana Kila Kitu na Shujaa Magufuli hivyo angemshinda!
Sifa 10 za hao watu ni kama ifuatavyo,
1. Wanachukia wenye hela
Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.
2. Wanachukia Wawekezaji
Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.
3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine
Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.
4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao
Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.
5. Wana misimamo mikali ya ujamaa
Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.
Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.
6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi
Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.
7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao
Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.
8.Hujifanya Wacha Mungu Sana (Chui Kuvaa ngozi ya Kondoo).
Nadhani mnakumbuka Kila hotuba kumtaja Mungu Kwa watu hao Huwa hakuishia lengi ni kuwateka kisaikolojia maelfu ya wasioelewa.
Dini/Mungu anatumika kama cover ya kujifichia na kufichia mambo yake Ili wale wachache wenye ujasiri wakisema mtu huyu kafanya ovu Fulani wajinga watamtetea watasema alikuwa mtu wa Nguo sijui Ncha Mungu na blaa blaa zingine kama hizo.Ila ni watu makatili sana.
9.Ni watu Wasiotaka Kukosolewa Wala Kuambuwa Ukweli.
Hao watu wa dizaini hiyo hujiona wako sahihi na wao hawakosei kwamba ni Malaika wasaidizi wa mungu.ukithubu kuwambia ukweli na kuwakosoa basi unakuwa adui ndio maana hata wao Kwa wao hawawezi kuvumiliana,hawana vifua. Soma zaidi hapa Ntobi avuliwa Uenyekiti mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu
Haraka haraka hukimbilia kwenye propaganda za Kuitwa mpinga maendeleo hasa ya wanyonge 😂😂
10. Ni Watu Wasiotunza Siri (Waropokaji na Wasio na Staha Ya Kauli).
Kutokana na kupenda sana sifa watu hao hawawezi.kutunza Siri lazima watazitoa siku moja kama njia ya kujipatia umaarufu wa Kisiasa.Kana kwamba haitoshi ni hatari kuweka makubaliano ya Siri na hao watu maana Kuna siku atatumia kama silala yake ya Kisiasa kukuponda mkija ku fall apart.Kiufupi hawana vifua vipana na wasio na hekima ya kinywani.
Angalizo
Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.
Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.
Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Soma Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu