Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli

Una hoja nzuri, sema umeharibu hoja yako yote kwa kumfananisha Lisu na Magufuli, wakati ni watu wawili tofauti kabisa na hawapikwi chungu kimoja!!
 
Uwezi kumlinganisha TAL na lile LIDUBWANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…