Elections 2015 Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Watu kama hawa ndiyo mtaji mkubwa wa ccm kuendelea kubaka demokrasia hapa nchini na ndiyo walio wengi sana,hapa Nape akipita juu ya migongo ya kina mama kisa ni kipi?ujinga ulio pitiliza!!!!View attachment 840926
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli huu ndio mtaji wa ushindi wa CCM, japo wewe umeuita ni ujinga, kwa wajinga hao, kwao hayo ni mapenzi kwa CCM, kwa CCM wenyewe, huo ujinga ndio mtaji wao!.

Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! - JamiiForums

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance? - JamiiForums

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? - JamiiForums

Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" - JamiiForums
P
 
Baada ya Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni super man, nimemkumbuka naomba nimdurusu kidogo, niliwaji kusema nini humu kumhusu mtu huyu.

P.
 
Mkuu Nyanjomigire, pole, hatuandiki kuhusu chama kimoja tuu, na huu sio tuu ni mfano hao, mwandishi wa hoja kama hii, anaweza kuwa kibaraka wa CCM?.

P.
 
Tanzania is amongst the most blessed countries in the world.
Mkuu DEU87 , kwanza asante sana kwa mada hii, naunga mkono hoja, Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana tuu, ila...
Karibu mitaa hii, hili tumelijadili sana humu Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows! na hapa Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Pia niliwahi kuuliza maswali haya humu Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na swali hili Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na hili Elections 2015 - Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Tunahitaji mjadala wa kitaifa, nchi yetu nimebarikiwa sana, tuna almost kila kitu!, tunakwama wapi?.
p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…