Umesema ukweli. Ukweli uwaweke huru!Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC
Sizitaki mbichi hiziSimba hatumtaki Feisal,arudi alipo toka
Wewe umesikia wapi?????Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC
Thiiimbaaaa 5imba hii hii au nyingine?Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC