Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita baharini?
Huko Duniani wao wanafanya nini kukabiliana na hitilafu kama hizi?