Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
BOT Wako vzr wana back upnyao VSAT...Usalama nahisi bado wanayo...TTCL walikuwa Earth station sina uhakika.....bafo tuna route to SA...west africa kama nchi......uwekezaji ufikiriwe zaidii....Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita baharini?
Huko Duniani wao wanafanya nini kukabiliana na hitilafu kama hizi?
Route za SA na west africa zipo active to date. Mwaka jana lilitokea tatizo waka switch to those linesBOT Wako vzr wana back upnyao VSAT...Usalama nahisi bado wanayo...TTCL walikuwa Earth station sina uhakika.....bafo tuna route to SA...west africa kama nchi......uwekezaji ufikiriwe zaidii....
Mwezi march tu hapo...Route za SA na west africa zipo active to date. Mwaka jana lilitokea tatizo waka switch to those lines
Kwani Tanzania ipo akhera😳Huko Duniani wao wanafanya nini kukabiliana na hitilafu kama hizi?
TCRA wameongea na hata Waziri nimemsikia,but he doesn't seem to clearly understand what is happening,this👇could be the problem.Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita baharini?
Huko Duniani wao wanafanya nini kukabiliana na hitilafu kama hizi?
Mkuu kuna kitu sijakielewa,TCRA wameongea na hata Waziri nimemsikia,but he doesn't seem to clearly understand what is happening,this👇could be the problem.
NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse
NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse MAY 10, 2024 NASA says Earth is presently being impacted by the first two, of SIX coronal mass ejections from the sun and the energy is causing a massive Geo-Magnetic storm around our planet...www.jamiiforums.com
Falsafa ya internet ni kuwa na mtandao ambao link moja ikifail, nyingine ziwepo. Hii ndiyo basic design kutoka ARPANET.Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita baharini?
Huko Duniani wao wanafanya nini kukabiliana na hitilafu kama hizi?
Itoke wapi! Kama back up ya chakula tu hakuna, tutaweza Mambo ya mawasiliano!Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita baharini?
Huko Duniani wao wanafanya nini kukabiliana na hitilafu kama hizi?
Magnetic Storms mkuu zinaathiri mifumo yote ambayo usafirishaji wake unategemea umeme.So hata Nanobots zilizoko ndani ya mwili wa mtu aliyechanja C-19 vaccine, zinaweza kuharibiwa na Magnetic Storms na ndio maana watu waliochanja C-19 vaccines, wanashauriwa kukaa juani Wakati huu, ili waharibu hizo Nanobots.Mkuu kuna kitu sijakielewa,
Ni nini kinachoweza sababisha fibre communication iwe affected na magnetic storm???
Shukrani mkuu kwa hii elimuMagnetic Storms mkuu zinaathiri mifumo yote ambayo usafirishaji wake unategemea umeme.So hata Nanobots zilizoko ndani ya mwili wa mtu aliyechanja C-19 vaccine, zinaweza kuharibiwa na Magnetic Storms na ndio maana watu waliochanja C-19 vaccines, wanashauriwa kukaa juani Wakati huu, ili waharibu hizo Nanobots.
Follow link ifuatayo ujifunze zaidi vitu vinavyoweza kuathiriwa na Solar Magnetic Storms
"Extreme" and very rare G5-level solar storm hits Earth on Saturday
On Friday, April 12, 2024, at 6:54 pm EDT, extreme (G5) geomagnetic conditions reached Earth. This event followed G4 at 1:39 pm EDT.www.earth.com
NB:Usichokijua ni usiku wa giza mkuu.