Ikitokea huridhiki na uchunguzi unaofanywa dhidi yako unaruhusiwa kulalamika?

Ikitokea huridhiki na uchunguzi unaofanywa dhidi yako unaruhusiwa kulalamika?

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Hivi ikitokea huridhiki na uchunguzi unaoweza kuwa unaendelea dhidi yako na mfano labda uchunguzi huo dhidi yako unafanywa na pccb, je waweza kumlalamikia mchunguzi kwa mwajiri wake? Hasa hasa kama unaona kuna mambo hayaendi vizuri?
Nina fanyiwa uhuni Fulani ndo maana nauliza haya,
Asante
 
Bahati mbaya sheria sio kupiga ramli.
Unaomba ushauri kwa kufumba fumba mambo. Elezea jambo lilivyo kinaganaga bila kudisclose wahusika
 
Uchunguzi maana yake nini?

Kuna nyaraka umeamriwa uzikabidhi?

Kuna miamala ya fedha umeambiwa uikabidhi?

Kuna mali zako zinachunguzwa?

Umefanya udanganyifu wa mikataba ya tenda za serikali?

Ofisi yako unaitumia kuomba rushwa ya ngono?
 
Bahati mbaya sheria sio kupiga ramli.
Unaomba ushauri kwa kufumba fumba mambo. Elezea jambo lilivyo kinaganaga bila kudisclose wahusika[/QUOTE
NAOMBA NIKU-PM
 
Wacha uchunguzi uendelee na kama itaonekana unahatia ya jambo husika kupelekea ukaadhibiwa, utakata rufaa huku ukibainisha hayo ambayo unayaona hayaendi sawa wkt wa uchunguzi
 
Wacha uchunguzi uendelee na kama itaonekana unahatia ya jambo husika kupelekea ukaadhibiwa, utakata rufaa huku ukibainisha hayo ambayo unayaona hayaendi sawa wkt wa uchunguzi

Mkuu unamaanisha, kama ikikatwa rufaa high court, naweza kutaja hata huu udhaifu uliopo kwenye hatua ya uchunguzi?
 
Mkuu unamaanisha, kama ikikatwa rufaa high court, naweza kutaja hata huu udhaifu uliopo kwenye hatua ya uchunguzi?
Exactly,tena sio high court tu hata court of appeal, kikubwa ni kubainisha mchakato usio halali jinsi ulivyopelekea haki kutotendeka kwa upande wako.
 
Ahaa kumbe ni wewe ndo umekuja kuleta malalamiko humu..
 
Back
Top Bottom