Wacha uchunguzi uendelee na kama itaonekana unahatia ya jambo husika kupelekea ukaadhibiwa, utakata rufaa huku ukibainisha hayo ambayo unayaona hayaendi sawa wkt wa uchunguzi
Exactly,tena sio high court tu hata court of appeal, kikubwa ni kubainisha mchakato usio halali jinsi ulivyopelekea haki kutotendeka kwa upande wako.Mkuu unamaanisha, kama ikikatwa rufaa high court, naweza kutaja hata huu udhaifu uliopo kwenye hatua ya uchunguzi?