The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ndugu wanabodi mimi sio mjuzi sana wa sheria, ila kwa ninavyosikia ni kwamba mtuhumiwa yeyote anao uhuru wa kutafuta mwanasheria au wakili wa kumtetea katika kesi inayomkabili.
Ndipo swali langu linapokuja kwamba, kwa kuwa mambo ya haki hasa inayotolewa na mahakama hupatikana kutokana na ufundi wa kucheza na maneno ya kisheria, je ikitokea kila mhalifu akawa anapata wakili mtetezi mahiri anayepelekea mhalifu kushinda kesi, haiwezi kuwa hatari kwa jamii kwani wahalifu wanaachiwa huru na mahakama Hali ya kuwa bado ni wahalifu?