Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wana jamvi.
Haya maswala ya ubuyu, aka ushilawadu yanazidi kushamili kwa kasi hapa nchini. Haipiti saa wala dakika ukakosa kuuona ubuyu mitandaoni, hi inaonesha wazi kuwa vijana wamehamasika zaidi na mambo haya ya ubuyu. Je ikitokea wizara hiyoooo ya ubuyu mkali wako ambae unaona ataitendea haki wizara hiyo kutoka hapa hapa jukwaa pendwa la JF, wewe utampendekeza naniiiiii?
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hahahaaa. Ndio ujizoweshe shoga kuupenda, sababu siku zote ubuyu una ladha yake hasa ule wenye pili pili kwa mbaali. Teh teh.
Ule wa Tanga na Unguja ndo namba moja nasikia.
Teh Teh Teh Teh...!
 
Ndo umewapendekeza hao?
Waziri na Naibu wake?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaa. Nimewawazia tu ila kama wanaupenda basi nitawapitisha rasmi.

Si unajua tena idara nyingine zinataka moyo sababu hazina kulog out jf yaani kila saa inatakiwa kuchungulia kama umbea upo. Lol
 
Back
Top Bottom