[emoji23][emoji23][emoji23]mbn wee umejitoaBeef lasagna dinazarde witness j mzigua 90 hawa wanafaa sana kusimamia hiyo wizara
Mi napenda kule kwny kupandana ubuyu sipo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]mbn wee umejitoa
Hahahaaa. Ndio ujizoweshe shoga kuupenda, sababu siku zote ubuyu una ladha yake hasa ule wenye pili pili kwa mbaali. Teh teh.Mi napenda kule kwny kupandana ubuyu sipo kabisa
Kapeace wana JF wanakuona.Mi napenda kule kwny kupandana ubuyu sipo kabisa
Ule wa Tanga na Unguja ndo namba moja nasikia.Hahahaaa. Ndio ujizoweshe shoga kuupenda, sababu siku zote ubuyu una ladha yake hasa ule wenye pili pili kwa mbaali. Teh teh.
Ndo umewapendekeza hao?
Hahahaaaa. Haswaaaaaaaa. Teh.Ule wa Tanga na Unguja ndo namba moja nasikia.
Teh Teh Teh Teh...!
Hahahaa. Nimewawazia tu ila kama wanaupenda basi nitawapitisha rasmi.Ndo umewapendekeza hao?
Waziri na Naibu wake?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umeonaeeeee...ubuyu unaliwa muda wowote na hauleti madhara.Hahahaaaa. Haswaaaaaaaa. Teh.