Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Kumuita mtu mwenye jicho kama hili, "the wicked stephmother" sio kumtendea haki!, haswa kwa kuzingatia jicho la upendo kama hili, hivyo kumuita a wicked step mother mtu ambaye sio wicked, sio kumtendea haki!.

P.
 
Paschal:
Unatakiwa ufike ofisini kwangu kwa ajili ya mahojiano kama yale ya kipindi kile,..lol...
 
Zawadi gani mkuu?
 
Umenikumbusha shingo ya ummi Mwalimu
Nampenda yule bi dada
 
Nilijua nimeona peke yangu, lile jicho na tabasamu lake na kwa umri ule, je ujanani ilikuwaje. Mungu kambariki sana na ule upole wake na azidi kumbariki zaidi.
Mkuu Asante Sana, Thank you, sala yako ya Mungu kambariki sana, na azidi kumbariki imejibu, amembariki na anazidi kumbariki.
P
 


 
Nami nijiunge na Watanzania wenzangu wote wapenda macho, kumtakia Happy Birthday Mtanzania mwenzetu mmoja aliyejaaliwa jicho kama lilivyotajwa kwenye uzi huu.
Happy Birthday!.

P
 
Mama akitabasamu ana mwanya fulani hivi amazing achilia mbali macho malegevu, pua yake mchongoko 😍 ambao waliwahi fanya nae kazi hapo nyuma ni mashahidi wa hili..

 
Mama akitabasamu ana mwanya fulani hivi amazing achilia mbali macho malegevu, pua yake mchongoko 😍 ambao waliwahi fanya nae kazi hapo nyuma ni mashahidi wa hili..

View attachment 2097551
Haya mambo ya kuweka picha za waheshimiwa kuzungumzia macho, sio fresh, ni ukosefu wa heshima!.
Mama kama mama, maddam President macho mashaaalah.

View attachment 2097594
Haya mambo ya kuweka picha za waheshimiwa kuzungumzia macho, sio fresh, ni ukosefu wa heshima!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…