Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale tifuatifua wajinga sana.Msimu uliopita hizi kanuni hazikutumika ? ilikuaje kiatu wakagawana
Kwa hali ilivyo sasa nani anaongoza?Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi
Mpaka sasaKwa hali ilivyo sasa nani anaongoza?
Nilikuwa nataka hizo goli za penati tuone, maana ndo kigezo cha kwanza.Mpaka sasa
Aziz Ki goal 15 assist 7
Feisal goal 15 assist 7
Ila Azizi Ki kacheza mechi pungufu ya Feisal
Na upande wa magoli ya penati kumbukumbu zangu zinaniambia Aziz Ki ana goli moja la penati ila kwa Feisal zijajua magoli ya penati ni mangapi.