Feisal atakuwa na bahati sana mwaka huu; alipata magoli matatu ya haraka haraka dhidi ya Kitoyase iliyokuwa na wachezaji wanane tu.
Halafu hawa TFF wanaleta vigezo wakati mashindano yanafikia mwishoni badala ya kuweka vigezo wakati mashindano yanaanza. Ni watu wa wajabu sana hawa; inatakiwa kwa mwaka huu vigezo vile vile vya msimu uliopita ndivyo vitumike, halafu hivi vipya vianze kutumika msimu ujao. Filimbi ya kwanza inapulizwa huku vigezo vyote vikiwa vinajulikana, siyo vinatengenzwa kufuatana na upepo. unekoelekea.