Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Ukisikia elimu bure ndiyo hii sasa
Nchi imejaa vilaza Sana ikiwemo wewMi navyojua lazima imepitiea kuwa mkoa kwanza kisha jiji. Sasa sidhani kama moshi ni mkoa ila tayari wanalazimisha kuwa jiji bila hata kuwa mkoa.
Hii ni sawa na prof ndalichako ana PhD lakini hana masters sijui iliwezekana vipi. Hata slaa ana PhD lakin hana masters. Tueleweshane jamani ili turuke viunzi vingine kama ni wastage of time hata mimi natamani niwe prof bila hata kuwa na masters wala phd.
Ni elimu bila adaUkisikia elimu bure ndiyo hii sasa
Usikate tamaa kwa maneno yangu, ila kwa kweli unahitaji kuongeza maarifa yako!Mi navyojua lazima imepitiea kuwa mkoa kwanza kisha jiji. Sasa sidhani kama moshi ni mkoa ila tayari wanalazimisha kuwa jiji bila hata kuwa mkoa.
Hii ni sawa na prof ndalichako ana PhD lakini hana masters sijui iliwezekana vipi. Hata slaa ana PhD lakin hana masters. Tueleweshane jamani ili turuke viunzi vingine kama ni wastage of time hata mimi natamani niwe prof bila hata kuwa na masters wala phd.
Na wewe ni mjinga mwingine mkubwa, eti jiji la Dar lipo Ilala au jiji la Mwanza lipo Nyamagana?!!! Jiji la Dar ni manispaa zake zote za Kinondoni, Ilala, Temeke, Ubungo na Kigamboni.Aloo wewe jamaa nikilaza kweli kweli kumbe wew ukisikia jiji unajua ni mkoa mzima ,mfano jiji la mwanza haina maana mkoa wote wa mwanza ni jiji ila jiji lipo nyamagana, dar jiji ni ilala ,
Kumbuka marehemu magu kabla hajafariki alivunja hicho kitu ilala pekee ndo ilibaki na hadhi ya jiji zingine zote ni manispaa hata meya wa jiji anatoka ilala.Na wewe ni mjinga mwingine mkubwa, eti jiji la Dar lipo Ilala au jiji la Mwanza lipo Nyamagana?!!! Jiji la Dar ni manispaa zake zote za Kinondoni, Ilala, Temeke, Ubungo na Kigamboni.
Mleta Mada Ni Wa Ajabu Sana Hajui Hapo Ni KilimaranjoUkisikia elimu bure ndiyo hii sasa
Kama HiiSio kila mtu lazima aanzishe thread nyingine zinatutia aibu sana.
Ile kabla ya magufuli ilikuwa ya kukurupukaKumbuka marehemu magu kabla hajafariki alivunja hicho kitu ilala pekee ndo ilibaki na hadhi ya jiji zingine zote ni manispaa hata meya wa jiji anatoka ilala.
Nadhani hii ndo ilikua hotuba ya mwisho ya Jpm kwenye kuipa ilala pekee hadhi ya jiji.