Ikitokea Mungu akawaondoa watu wote DUNIANI akakukabidhi hii dunia wewe na mke au mme wa ndoto yako

Ikitokea Mungu akawaondoa watu wote DUNIANI akakukabidhi hii dunia wewe na mke au mme wa ndoto yako

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako. Je,

a.Utapenda mukaishi nchi gani? Kwanini?
b. Mtajishughulisha na kazi gani?
c. Utapenda mzae watoto wa ngapi?
d. Utahakikishaje technolojia iliyofikiwa Sasa haitoweki?

Kumbuka #sometimes 1+1=11 [emoji23][emoji1787]
 
Hapo ndipo ule msemo maarufu wa ‘nitakupa Dunia yote ili uwe wangu’ unapoungia.

Mission accomplished.
 
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako.
Je,
a.Utapenda mukaishi nchi gani? Kwanini?
b. Mtajishughulisha na kazi gani?
c. Utapenda mzae watoto wa ngapi?
d. Utahakikishaje technolojia iliyofikiwa Sasa haitoweki?

Kumbuka #sometimes 1+1=11 [emoji23][emoji1787]
Wala Mungu Hana Mpango huo.
 
Aweke hata mabinti watatu wanne hivi tofauti na MKE WANGU,hapo Mambo yatakuwa Safi,maana bila MCHEPUKO maisha yatakuwa magumu sana
 
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako. Je,

a.Utapenda mukaishi nchi gani? Kwanini?
b. Mtajishughulisha na kazi gani?
c. Utapenda mzae watoto wa ngapi?
d. Utahakikishaje technolojia iliyofikiwa Sasa haitoweki?

Kumbuka #sometimes 1+1=11
emoji23.png
emoji1787.png

Huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa maisha ya watu duniani, hivyo hakuna haja ya kuhiji nchi watakayopenda kwenda kuishi, Watafanya shughuli gani nk, kwani maswali hayo sio ya msingi.

Ni sawa mtu aulize swali; Hivi ukinywa sumu kwa makusudi utapenda kunywa maziwa gani, kiasi gani nk??---badala ya kujadili madhara ya kunywa sumu kwa makusudi na tuanze kujadili dawa ya kuponya madhara ya sumu.
 
kuhusu kuzaa hyo c hesabu tena ni kuzaa had mayai yaishe
 
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako. Je,

a.Utapenda mukaishi nchi gani?
Tanzania
Kwasababu naipenda
b. Mtajishughulisha na kazi gani?
Kilimo,uvuvi na ufugaji
c. Utapenda mzae watoto wa ngapi?
Watoto mia,
d. Utahakikishaje technolojia iliyofikiwa Sasa haitoweki?
Nitawafundisha watoto ili nao waiendeleze
Kumbuka #sometimes 1+1=11
Nitamwomba Mungu atuongezee utamu kwenye malavidavi,bao moja liwe zaidi ya lita tano
[emoji23][emoji1787]
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom