Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Wakuu,
Naombeni mawazo yenu hapa tukikumbuka kuwa kushiriki siasa siyo tu haki ya kila mtu, lakini pia ni fursa ya pekee ya wanawake kuchangia kwenye maamuzi ya nchi, yanayoathiri maisha ya kila mmoja wetu.
Kwa muda mrefu sana, sauti za wanawake zimekuwa zikikandamizwa au kupuuzwa, lakini kwa kuwaunga mkono, tunahakikisha wanapata nafasi ya kuleta mabadiliko wanayostahili.
Karibuni