Ikitokea nikawa na mamlaka, nitaivunja High court na kuiunda upya na majaji toka nje

Ikitokea nikawa na mamlaka, nitaivunja High court na kuiunda upya na majaji toka nje

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence

Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment.

2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY MWENYEKITI WA CCM ambaye kigezo ni how Royal one is!.....and the like

COURT OF APPEAL
Court of appeal bado kuna ka unafuu. Nitawarekebisha na kuwapa uhuru wa kutenda kazi zao
 
Well said....

Ila hilo huliwezi Kama haujaingia kwenye mfumo na ukiingia tu Ni lazima ubadilike uwe Kama wao.
 
Pambana kwanza na wenyeviti wako huko Chadema kabla ya kuwavamia Majaji 😂
 
Sasa kiongozi Retired ukishakuwa na hayo mamlaka si na wao wataenda sawa na wewe mwenye mamlaka au hujaliwaza hilo?.

Tuhangaike na tatizo la mifumo sio mamlaka.

Kuna kichekesho cha kusikitisha kinaendelea, watu wengi wakikijua watashangaa sana na kitatuvuruga zaidi kwenye huu muhimili wa Mahakama.

Sitakisema maana ni aibu kwa Katiba yetu.
 
Hata UMod hapa JF itakuwa kazi .
======

Unaamka asubuhi na hasira na dukuduku kama hizi ...aisee ni hatari kwa afya.
 
Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence
Una hoja ya msingi ila sio lazima majaji watoke nje, tuna Watanzania wengi tuu wenye uwezo wa kuwa majaji, ila hawapewi ujaji kwasababu kazi ya ujaji haiombwi.

Nashauri nsfasi za kazi ya ujaji zitangazwe, Watanzania wenye sifa waombe, wasailiwe, wale walio bora, wachukuliwe ndipo wateuliwe.
Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment.
Sio wote ila ni wengi.
2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY MWENYEKITI WA CCM ambaye kigezo ni how loyal one is!.....and the like
Hili japo sii kweli, kwasababu kuna tume ya ajira ya mahakama ambayo huchakata majina ya majaji na kumpelekea Rais ateue, na hapa ndipo kwenye tatizo hili ambalo nililizungumza hapa Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
COURT OF APPEAL
Court of appeal bado kuna ka unafuu. Nitawarekebisha na kuwapa uhuru wa kutenda kazi zao
Nakushukuru kwa kuwa na imani na Court of Apeal
Paskali
 
Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence

Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment.

2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY MWENYEKITI WA CCM ambaye kigezo ni how Royal one is!.....and the like

COURT OF APPEAL
Court of appeal bado kuna ka unafuu. Nitawarekebisha na kuwapa uhuru wa kutenda kazi zao
"How Royal one is".... ulitaka kumaanisha LOYAL? Ungejua kiingereza ungesumbua.
 
Back
Top Bottom