Una hoja ya msingi ila sio lazima majaji watoke nje, tuna Watanzania wengi tuu wenye uwezo wa kuwa majaji, ila hawapewi ujaji kwasababu kazi ya ujaji haiombwi.Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence
Sio wote ila ni wengi.Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment.
Hili japo sii kweli, kwasababu kuna tume ya ajira ya mahakama ambayo huchakata majina ya majaji na kumpelekea Rais ateue, na hapa ndipo kwenye tatizo hili ambalo nililizungumza hapa Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY MWENYEKITI WA CCM ambaye kigezo ni how loyal one is!.....and the like
Nakushukuru kwa kuwa na imani na Court of ApealCOURT OF APPEAL
Court of appeal bado kuna ka unafuu. Nitawarekebisha na kuwapa uhuru wa kutenda kazi zao
Pambana na ushindi fake wa mitaa wa asilimia 99 ya shemeji yenu mwenye kifua kikubwa.Pambana kwanza na wenyeviti wako huko Chadema kabla ya kuwavamia Majaji π
"How Royal one is".... ulitaka kumaanisha LOYAL? Ungejua kiingereza ungesumbua.Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence
Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment.
2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY MWENYEKITI WA CCM ambaye kigezo ni how Royal one is!.....and the like
COURT OF APPEAL
Court of appeal bado kuna ka unafuu. Nitawarekebisha na kuwapa uhuru wa kutenda kazi zao
Mwemyekiti ana shida gani? Mnaotaka atoke ni CCM na Lisu wenu....Pambana kwanza na wenyeviti wako huko Chadema kabla ya kuwavamia Majaji π
Mbowe aliwaleta Chadema Zitto Kabwe, Silinde na KatambiMwemyekiti ana shida gani? Mnaotaka atoke ni CCM na Lisu wenu....