LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Ikitokea mechi ya Simba [emoji881] na Yanga [emoji169][emoji172],FEI TOTO akapiga bonge la shuti likaenda kugonga uoande wa jicho la shabiki wa Simba akapelekwa hosptali ikashindikana akapata upofu ilo jicho moja. Je astahili fidia? Nani atamlipa na kwanini?