Ikitokea uchague mtu ambaye siku UKIFA nae AFE.. Na Kwa nini?

Mie simoooo. Best unajua mie nimo humu tangu mwaka 47. Umewahi kuniona nauliza maswali ya kipuuzi Best!?
Sijawahi kukuona.
Ila si unajua mambo ya samaki mmoja akioza?
Unajua kuna maswali mengine hata huko anapoanza kuandika sijui hajisikii aibu.
Dah!!
Ngachoka sana mie
 
Reactions: BAK
Haya Best LOL! 🙂🙂🙂 samaki wengine humu bado hawajaoza Best.

Sijawahi kukuona.
Ila si unajua mambo ya samaki mmoja akioza?
Unajua kuna maswali mengine hata huko anapoanza kuandika sijui hajisikii aibu.
Dah!!
Ngachoka sana mie
 
Mlinipa kazi ya kumshika msusiwaji akaingia mitini.
Na wewe pia uliambiwa kama vp mnyororo uungwe
Mpaka sasa hujatoa jibu.
Unajua hata kama mwanaume ana kibamia, akijua kukitumia vizuri, hatetereki
 
Haya Best LOL! 🙂🙂🙂 samaki wengine humu bado hawajaoza Best.
Ok best.
Basi naomba unisindikize na kibao kimoja kizuri sana ili nipoze machungu yangu kuhusu wanaume magegedu ya humu usiku huu
 
Na wewe pia uliambiwa kama vp mnyororo uungwe
Mpaka sasa hujatoa jibu.
Unajua hata kama mwanaume ana kibamia, akijua kukitumia vizuri, hatetereki
Haha...
Hilo darasa lipo wapi B tukapate shule maana sasa mnataka utamu ambao hatukufundishwa jando.
 
Ndo Kwanzaa mshamaliza kujifuta cha kwanza mmekuja kuomba cha pili utam kolea madame B anakuja
Huyo hana lolote nguvu ya soda tu.
Kapotea kaona kumepoa ndo karudi.
hana lolote
 
Ngoja tuchukue mautundu kwa B naona anatusema saana.
Sio nawasema, nataka baadhi yenu muache uzandiki.
Sio kila jambo unalofanya na mpenzi wako chumbani basi unakuja humu kuomba ushauri.
Wanaume wenyewe wa humu almost wote no U-18, watashauri nini cha maana?

Yaani Daby....kiukweli wanaume wengine sio.
Ndio maana Pm za wengine zimefungwa kwa ufirauni kama huu.
CC Evelyn Salt
Hv unategemea mwanaume anayeponda wanawake jukwaani akija Pm nitamjibu?
Nitampotezea.
Mijanaume mingine ni mi-mamluki tu kwa roho za wanawake.
 
Haha...
Hilo darasa lipo wapi B tukapate shule maana sasa mnataka utamu ambao hatukufundishwa jando.
Vitu vingine sio lazima ufundishwe darasani au jandoni.
Ukikua na akili yako inakua na kupokea maarifa mapya.
Mnataka hata kutunyonya visimi mfundishwe darasani?
Au unataka hata kuniweka doggy style ufundishwe jandoni!
Unantia aibu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…