Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kama wachezaji wana haki ya kuvunja mikataba wakati wowote, kuna uwezekano wa kutokea kitu cha ajabu sana. Swali ni je pale Yanga ikitokea wachezaji zaidi ya 20 wamepata deals nzuri na wameamua kuvunja mikataba yao (kama alivyojaribu Feisal), timu itaendelea na kushiriki mashinano?
 
Mpira si biashara ya utumwa. Mchezaji wajibu wake unaambatana na nia ya kutimiza huo wajibu, ukiondoa nia basi ni sawa na huna huyo mchezaji hata kama utalazimisha awepo kikosini. Kuwa na wachezaji 20 wasio na nia ya kuipigania timu ni bora wasiwepo tu. Ni sawa na kufuga mbuzi wafukuze paka wezi wa kuku. Utasema una walinzi ila ni kama huna tu.
 
Hahaha kwaio tuache kuheshimu mikataba mkubwa [emoji3][emoji3][emoji3].

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Hahaha kwaio tuache kuheshimu mikataba mkubwa [emoji3][emoji3][emoji3].

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Mikataba lazima iheshimiwe. Ila kwa nature ya mikataba ya mpira, mchezaji akisusia timu ni sawa tu na mtu aliyejitoa mhanga, anapoteza ila pale anapolipukia panaharibika pia. Kumshinda mtu wa aina hii ni kumuwahi na kumuondoa asilipuke.

Hakuna manufaa yoyote utakayopata kwa kumng'ang'ania mchezaji kikosini asiyetaka kuwa kikosini. Unless unataka kumtumia kama mfano kwa wachezaji wengine, na ikiwa hivi in long run utamwachia tu. Huwezi mshikilia maana ni mzigo kwako.
 
Mikataba lazima iheshimiwe. Ila kwa nature ya mikataba ya mpira, mchezaji akisusia timu ni sawa tu na mtu aliyejitoa mhangakama mfano kwa wachezaji wengine, na ikiwa hivi in long run utamwachia tu. Huwezi mshikilia maana ni mzigo kwako...
Aende Sasa mezani wayamalize na Yanga.

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 

Waambie wasilipe mshahara miezi 3 wala posho afu uje tena hapa.

Ukiona hilo linatokea ujue timu inashida.

Umejiuliza pia vipi Yanga ikiamua kuvunja mikataba ya wachezaji wote itakuwaje?
 
Uyo dogo na mabush lowyer wake wanaomshauri tunataka kuwaonyesha kwamba sikio alizidi kichwa, target yao waliyokuwa wameiset ili bounce na awakutegemea kama itabackfire namna hii, wao walitaka wapigwe faini na afungiwe miezi 4 baada ya hapo awe huru, Sasa mambo yamekwenda kinyume na mategemeo wanabaki kuomba huruma wapuuzi hawa, Feisal kuondoka yanga ni mpaka yanga wenyewe waamue na si vinginevyo, waende uko cas tunawasubili kwa hamu kubwa ili tupimane ubavu vizuri
 
Ok. Lkn swali ni je timu itaendelea na mashindano?
 
Nimemsikiliza Fatuma akiongea,nimeshangaa anaongea hoja dhaifu sana kuhusu suala ya Feisal
Wala hajaongea hoja dhaifu, hiyo ndio ilikuwa plan yao tangu awali kwamba Feisal atapigwa fine kwa kuvunja mkataba kihuni halafu wapemba wenzake wangempa pesa awalipe Yanga.

Sasa TFF imewasuprise kwa kuangalia uhalali wa Feisal je ni mchezaji halali wa Yanga au siyo mchezaji halali?

Jibu ni moja tu, Feisal ni mchezaji halali wa Yanga.

Ila watu wana roho mbaya sana, wamemrubuni mtoto wa watu wakati hizi mechi za Makundi CAF ndio wachezaji wanaonesha uwezo wao na kupata soko.
 
Waambie wasilipe mshahara miezi 3 wala posho afu uje tena hapa.

Ukiona hilo linatokea ujue timu inashida.

Umejiuliza pia vipi Yanga ikiamua kuvunja mikataba ya wachezaji wote itakuwaje?
Kama kuna jirani yako hapo ana majibu ya swali langu mwambie akusaidie kujibu
 
Mpira si biashara ya utumwa. Mchezaji wajibu wake unaambatana na nia ya kutimiza huo wajibu, ukiondoa nia basi ni sawa na huna huyo mchezaji hata kama utalazimisha awepo kikosini...
You're missing the point, at this point Yanga haina shida na Fei ila inafuata matakwa ya mkataba na kumkomoa which I rightly support.

Yanga inaendelea na match zake kama kawaida ila Feisal haendi mbele wala kurudi nyuma. Kama alidhani kuna jambo litabadilika au atapewa mwanya wa kuchomoka ngoma imedinda. Anajimaliza mwenyewe na bush lawyers wake.

Ukifungua mwanya wa wachezaji kuondoka kiholela kila mtu ataanza kuondoka anavyotaka sio Yanga tu bali kila timu, Yanga na TFF wana wajibu wa kusimamia sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…