ikitokea wawili hawa wakaoana au wakawa chama kimoja cha siasa itakuwaje?

CELLULAIRE

Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
76
Reaction score
97
Ni watu ambao mara kwa mara nimekuwa nikiwafuatilia kila mmoja katika jukwaa analolitumia na kugundua ya kwamba wawili hawa wana vitu vingi vya kufanana japo pia wana ambavyo wanatofautiana.

Ni watu ambao kama wewe ni mpenda mitandao ya kijamii ama kule instagram au hapa jf huwezi ukaacha siku ipite bila kutembelea huko na uone wameandika nini na kiukweli niseme tu uwazi kwamba hawa watu wawili kwa sasa ndiyo gumzo na wanafuatiliwa na maelfu ya watumiaji wa hii mitandao.

Ni watu ambao kiukweli kabisa tabia zao zinataka kufanana ambapo wote ni watu wenye hasira za karibu sana, siyo waoga, ni wajenga hoja wakubwa na pia wanajua kuzitetea hoja zao, wana uwezo mzuri wa kufikiri, hawapendi kupingwa chochote wakisemacho, wanapenda kutukana sana na kuwashushua wale ambao wanahisi hawakubaliani na mawazo yao lakini pia hapo hapo ni wachekeshaji wazuri kiasi kwamba kuna muda mwingine ukipitia maandiko yao utabaki tu kucheka na kuifurahia siku yako.

Tofauti yao kubwa tu ni kwamba mmoja ni mwana CHADEMA na mwingine ni mwana CCM japo huyu mmoja wapo ni mwana CCM lakini asiyependa kuyumbishwa na makosa ya CCM ambapo kuna muda mwingine hudiriki hata kukisema chama chake hicho cha CCM ila kwa yule mwingine yeye hukisifia tu chama chake cha CHADEMA na kukiponda sana chama cha CCM.

Tofauti yao nyingine kubwa ni kwamba mmoja ni mwanamke huku mwingine akiwa ni mwanaume pia mmoja wao anaishi sana Ulaya huku mwingine akiwa anaishi sana Tanzania japo tetesi zinasema kwamba ni raia wa nchi jirani ya Rwanda na ni mkimbizi japo bado hilo halijathibitishwa.

Imefika muda tu nikajiuliza mwenyewe kwamba hivi kwa jinsi wawili hawa walivyo na mvuto kwa watu ikitokea wakafunga pingu za maisha na kuwa mke na mume au wote wawili wakaamua kuwa ndani ya chama kimoja cha kisiasa itakuwaje? Kwani mimi nawaona ni watu ambao kwa uwezo wao mkubwa wa ushawishi kwa jamii kama wakiwa katika chama kimoja basi hicho chama kitazoa kura zote za Watanzania kupitia wao na pia kama wakiwa wana familia moja basi hiyo familia yao itakuwa inaogopeka na tishio sana kwa majirani.

Ninao wazungumzia hapa si wengine bali ni mwanadada Mange Kimambi na mwanakaka GENTAMYCINE na natamani sana siku moja hii ndoto yangu ya wawili hawa ama kuwa mke na mume au kuwa ndani ya chama kimoja cha kisiasa hapa nchini Tanzania itimie kutokana na kwamba nawakubali sana kwa uwezo wao wa kujenga hoja na kuibua mambo.
 
Umejuaje kama gentamycine ni mwanaume?

Watakuja watu watasema unajitafutia kiki. Ikifika hapo nitag
 
Yaani umebadili kbs ID Kwa ajili ya kupost huo upumbavu? . Ukisikia uhannithi ndio huu sasa
 
Nani anaishi Ulaya hapo? UMENDE umeuanza lini ?
 
Nchi yetu hairuhusu ndoa za jinsia moja,so endelea na tafakuli yako ya kialinacha huenda ukaotea kidume
 
Back
Top Bottom