profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
sasa mtaalamu tunakutegemeaa mkuu,hebu tupe hints mbili tatu,tujue pakuanzia,ingawa jana jioni niliosha gari...Kuna dalili ya double kick imemwagikia kwenye ECU.
Uliiosha kwenye engine?sasa mtaalamu tunakutegemeaa mkuu,hebu tupe hints mbili tatu,tujue pakuanzia,ingawa jana jioni niliosha gari...
hapana,ckugusa kabisaUliiosha kwenye engine?
sana,huyo ndo angle zake...JituMirabaMinne unahitajika hapa tafadhali
mdogo wangu ni fundi magari,ushauri wenu huwa unampa tafu sana,maana humu kuna magwiji wa mambo..Aisee hiyo gari yako kilasiku inakuja na changamoto Tu jitahidi upate gari nyingine tu