Ikiwa “Hakutakuwa na maandamano” kwanini kila uchao matamko yanatolewa?

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
106
Reaction score
383
Haya matamko yanaleta taharuki maana si JWTZ, polisi, mawaziri na vyawa wameshasema hakuna maandamano? Sasa kuendelea kusema kitu ambacho hakitafanyika na hakipo kunanikosesha amani binafsi.

Kwanini matamko yasikomeshwe ili sasa tujiandae na hiyo tarehe 29? Kwani kuna hofu gani wakati kitu hakipo? Nakosa hamu ya kula
 
Wewe ndio umeeleewa sasav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…