Ikiwa leo shule mbalimbali zipo katika mahafali, wadau wa mavazi toeni maoni yenu kuhusu huu mtindo

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Leo dogo anakata keki, ilikuwa safari ndefu sana kwake, kwani alirudia madarasa kadhaa.

Lakini hatimae amemaliza darasa la saba, familia tumejawa na furaha tele, kwani haikuwa rahisi.

Wadau wa mitindo na mavazi, mnampa maks ngapi fundi wa hili vazi, je dogo kapendeza au fundi kaboronga?

IMG_20240928_074805_987.jpg
 
Amependeza msukuma mwenzetu
Hongera kijana wetu.Angalia ana kipaji gani uanze kukitengeneza mapema sio lazima aende secondary.kuna vyuo vizuri Tu vya ufundi na biashara.
Ajifunze na lugha mbalimbali kama English na kichina.maisha ni Mipango Tu.
DK mwaka la saba ila amepiga hela kwa kuwatibu kina pro janabi
 
Huyu ataenda shule zinazo fundisha Elimu ya kawaida na ujuzi wa vitendo, lakini sio msukuma 😁😁
 
Madogo wa siku hizi naona wana furaha sana, wanachagua vitu vile wanataka.
Tofauti na sie wajomba zao, mtoto hana sauti kabisa, hizo mambo za mahafali ni mzazi anaamua sio mtoto, ila nowadays ati dogo anaulizwa kama atapenda kufanya au hataki.
 
Leo dogo anakata keki, ilikuwa safari ndefu sana kwake, kwani alirudia madarasa kadhaa kwani alikuwa slow-Lerner.

Lakini hatimae amemaliza darasa la saba, familia tumejawa na furaha tele, kwani haikuwa rahisi.

Wadau wa mitindo na mavazi, mnampa maks ngapi fundi wa hili vazi, je dogo kapendeza au fundi kaboronga?

View attachment 3109168
Kwenye ile video p diddy kavaa hivyo
 
Madogo wa siku hizi naona wana furaha sana, wanachagua vitu vile wanataka.
Tofauti na sie wajomba zao, mtoto hana sauti kabisa, hizo mambo za mahafali ni mzazi anaamua sio mtoto, ila nowadays ati dogo anaulizwa kama atapenda kufanya au hataki.
Siku hizi shule ndyo wanalazimisha, ni lazima kufanya mahafali hatakama mzazi hataki
 
Amewaka, imetiki .

Mie naswali tu Kwa wadau..hivi hizo Air force zenu zinafaa Surual za aina gan?? Kitambaa ? Kadeti Nzito? Jinsi?. Mashati zinakubali?.
 
Hiyo ni sare wamevaa wote, darasa nzima
Vazi la juu wameharibu muundo wa kora.

Ingekuwa na muundo wa V ingependeza sana,ila hapo mtu anakuwa kama chef/ mpishi. Designer kazingua hapo tu,ila unyama mwingi.
 
Back
Top Bottom