Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Huyu ataenda shule zinazo fundisha Elimu ya kawaida na ujuzi wa vitendo, lakini sio msukuma 😁😁Amependeza msukuma mwenzetu
Hongera kijana wetu.Angalia ana kipaji gani uanze kukitengeneza mapema sio lazima aende secondary.kuna vyuo vizuri Tu vya ufundi na biashara.
Ajifunze na lugha mbalimbali kama English na kichina.maisha ni Mipango Tu.
DK mwaka la saba ila amepiga hela kwa kuwatibu kina pro janabi
Hiyo ni sare wamevaa wote, darasa nzima😆😆😆 kapendeza faza class
Walimu wao ndyo wamesema wavae hivyoHizo airforce siku hzi zishakuwa midosho sana mmekosa viatu vingine.
Sio ushauri ni maoni tuNyie tu mnaona amependeza sasa tuwashauri nn
Amependeza ...Sio ushauri ni maoni tu
Kwenye ile video p diddy kavaa hivyoLeo dogo anakata keki, ilikuwa safari ndefu sana kwake, kwani alirudia madarasa kadhaa kwani alikuwa slow-Lerner.
Lakini hatimae amemaliza darasa la saba, familia tumejawa na furaha tele, kwani haikuwa rahisi.
Wadau wa mitindo na mavazi, mnampa maks ngapi fundi wa hili vazi, je dogo kapendeza au fundi kaboronga?
View attachment 3109168
Siku hizi shule ndyo wanalazimisha, ni lazima kufanya mahafali hatakama mzazi hatakiMadogo wa siku hizi naona wana furaha sana, wanachagua vitu vile wanataka.
Tofauti na sie wajomba zao, mtoto hana sauti kabisa, hizo mambo za mahafali ni mzazi anaamua sio mtoto, ila nowadays ati dogo anaulizwa kama atapenda kufanya au hataki.
Vyema sana mkuuYuko poa sana katokelezea
Vazi la juu wameharibu muundo wa kora.Hiyo ni sare wamevaa wote, darasa nzima
Air force ni kiatu fulani official afu sio officialAmewaka, imetiki .
Mie naswali tu Kwa wadau..hivi hizo Air force zenu zinafaa Surual za aina gan?? Kitambaa ? Kadeti Nzito? Jinsi?. Mashati zinakubali?.