Watanzania wote kwa umoja wetu tumesikitishwa na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia huko Kibiti. Jambo la kushangaza ni vipi magereza inahusu mahabu kupanga na kutekeleza uovu huo na yenyewe ikabaki salama. Ninaimba serikali uchukue hatua za haraka kama haya ni ya kweli.