Ikiwa marehemu kafariki kabla ya kuchukua mafao yake, je mgao wa hayo mafao kwa warithi utakuwaje?

Ikiwa marehemu kafariki kabla ya kuchukua mafao yake, je mgao wa hayo mafao kwa warithi utakuwaje?

Mrithi mamba moja ni mke kama ana cheti!

Watoto wameshaandikwa kwenye mfumo kama aliwaweka watapata chao!
 
Marehemu kafariki mwaka mmoja kabla ya kustaafu na akaacha mjane mmoja na watoto 6. Je mgao wa hayo mafao kisheria upoje?
Mfanyakazi akifariki kabla ya kustaafu:
Kitanyika kikao cha familia kuteua msimamizi wa mirathi.

Kama next of kin aliyeandikishwa na marehemu kwenye file atateuliwa tena na familia kusimamia mirathi, sawa.

Kama next of kin hatateuliwa na kikao hicho, basi watasaidizana na aliyependekezwa katika familia.

Kikao cha familia kitaandika muhtasari utakaopelekwa mahakamani kufungua shauri la mirathi.

Mirathi(mafao) ikishatoka,hugawiwa mahakamani kwa dependants waliopo kwenye file, yaani: mke/mume, watoto, yule mdogo ndiye mnufaika anayepatiwa kiwango kikubwa kuliko wenzake wote pamoja na wazazi kama watakuwa hai.
 
Back
Top Bottom