Uchaguzi 2020 Ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa kutojenga jengo la Kanisa, Je mgombea Urais anayetoka chama kisichojenga ofisi

T2020JPM

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2020
Posts
635
Reaction score
263
Nimekuwa nikiona baadhi ya members wakipiga sera na ahadi za Gwajima anazozitoa kwa wana Kawe kuwa hazitekelezeki kwa kigezo cha kushindwa kujenga jengo la kanisa lake.

Tukija upande wa pili tunaona pia CHADEMA nao wameshindwa kujenga jengo la ofisi yao kwa miaka mingi sana zaidi ya kuendeshea shughuli zao za kila siku kwenye servant quarter.

Sasa CHADEMA mtuambie ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa sababu hajajenga jengo la kanisa je mgombea wa urais anayetoka kwenye chama ambacho hakijajenga jengo la ofisi tunamchagua vipi?

Naamini kama anaweza kufufua wafu basi ana uwezo wa kusema 'Na Ambulance iwepo kila kata, zisizo tumia mafuta wala dereva" na zenyewe zikawepo. Ila cha zaidi ana uwezo wa kusema "Mgonjwa nakuamuru pona" Naye akapona hivyo haina haja hata ya ambulance
 
Nchi yetu ilipopata uhuru tuliamua kwa busara kabisa kutenganisha serikali na dini ila cha ajabu miaka 50 imepita bado kuna watu wenye fikra finyu kama zako. Usilete udini kwenye siasa.
 
Nchi yetu ilipopata uhuru tuliamua kwa busara kabisa kutenganisha serikali na dini ila cha ajabu miaka 50 imepita bado kuna watu wenye fikra finyu kama zako. Usilete udini kwenye siasa.
Angalia camera tafadhali
Your browser is not able to display this video.
 
Sio kanisa tu Atuonyeshe kwanza Treni na Jengo refu Africa alilowaahidi waumini wake.. Tuanzie hapo kumwamini.
 
Huyu pornstar hivi bado naye ana wapambe wakumpigia kura?
 
Aliyekwambia kazi ya mbunge ni kufufua watu nani?
Huyu kama kaweza mtafuna kondoo wake na bado mmempa dhamana, mnauhakika gani kua kutakua na usalama kwa hao wabunge wa kike ambao ni ccm wenzake?

Mnataka kuligeuza bunge kua brazzers?
 
Pole sana maana hujui maana na tofauti kati ya kabisa na nyumba ya kuabudia,wafuasi wa chadema mnakwama wapi? Harafu nanyie eti mnamikakati ya kuiondoa CCM madarakani,

Itawachukua miaka 1000 kuiondoa CCM, amini nawaambieni
 
Hivi kuwa na ofisi nzuri ya chama kungekuwa na umuhimu mkubwa basi baada ya miaka 60 ya maccm Tanzania ingekuwa kama Ulaya, lakini ni chama kilichojaa wahuni, majizi, mafisadi, waongo, wachumia tumbo ambao ndiyo adui mkubwa wa Watanzania na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU ndiyo mkamuona mtu bora kuongoza Nchi matokeo yake Nchi imekuwa ikidharaulika hata na majirani tofauti na miaka ya nyuma.

Huyu kama kaweza mtafuna kondoo wake na bado mmempa dhamana, mnauhakika gani kua kutakua na usalama kwa hao wabunge wa kike ambao ni ccm wenzake?

Mnataka kuligeuza bunge kua brazzers?
Sifa moja wapo ya kuwa mbunge ni kuwa na umri wa miaka 21 na kuendelea ivyo uyo ni mtu mzima. Huwezi kumpangia mtu mzima akazwe na nani. Hoja yako haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…