Wapambe ukimaanisha wananchi wenye sifa ya kupiga kura,waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ndio tupo na tutamchagua. Na hii sio kwa Gwajima tu bali kwa kila mgombea wa nafasi yoyote kutoka chama cha mapinduzi.Huyu pornstar hivi bado naye ana wapambe wakumpigia kura?
Kama mnalitambua hilo basi hoja yenu ya kutaka Gwajima asichaguliwe kwa sababu hajajenga jengo la kanisa inakuwa haina mashiko tena. Chadema mnajichanganya sanaHivi kuwa na ofisi nzuri ya chama kungekuwa na umuhimu mkubwa basi baada ya miaka 60 ya maccm Tanzania ingekuwa kama Ulaya, lakini ni chama kilichojaa wahuni, majizi, mafisadi, waongo, wachumia tumbo ambao ndiyo adui mkubwa wa Watanzania na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU ndiyo mkamuona mtu bora kuongoza Nchi matokeo yake Nchi imekuwa ikidharaulika hata na majirani tofauti na miaka ya nyuma.
Kama mnalitambua hilo basi hoja yenu ya kutaka Gwajima asichaguliwe kwa sababu hajajenga jengo la kanisa inakuwa haina mashiko tena. Chadema mnajichanganya sana
Maandiko yanasema muungwana hujishusha bali mpumbavu ujikweza. Hivyo nampongeza sana Gwajima kukubali kujishusha kwa masilahi mapana ya sisi wakazi wa kawe .Zipo sababu nyingi tu za huyo tapeli, mbaguzi, mzinzi na muongo kutostahili kuchaguliwa mojawapo ni hii hapa.
Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini
Maandiko yanasema muungwana hujishusha bali mpumbavu ujikweza. Hivyo nampongeza sana Gwajima kukubali kujishusha kwa masilahi mapana ya sisi wakazi wa kawe .
Maandiko yanasema muungwana hujishusha bali mpumbavu ujikweza. Hivyo nampongeza sana Gwajima kukubali kujishusha kwa masilahi mapana ya sisi wakazi wa kawe .
Kwetu sisi wakazi wa kawe tunaona Gwajima kajishusha na tutamchagua ivyo ivyo maana mti wenye matunda hutupiwa mawe. Tangu Gwajima apitishwe kugombea kelele zimekua nyingi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu acha kujibaraguza na kuita uongo wa huyo tapeli eti ni kujishusha!!!
Kwasasa kilicho muhimu kwetu ni kuhakikisha Gwajima na wagombea wote wa ccm washinda kwa kishindo. Uzinduzi wa treni tutajadili baada ya uchaguzi usitutoe kwenye reli mkuuNa huu uzinduzi wa treni mpya unafanyika lini!?
Siasa Mchezo mchafu :Video za Maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena , ccm yafunika uso kwa aibu
Kwetu sisi wakazi wa kawe tunaona Gwajima kajishusha na tutamchagua ivyo ivyo maana mti wenye matunda hutupiwa mawe. Tangu Gwajima apitishwe kugombea kelele zimekua nyingi sana
Ukisoma sifa za mgombea ubunge hakuna sehemu inayosema wazinzi wasigombee, hajawahi kushtakiwa kwa wizi wala utapeli ivyo zinabaki kuwa shutuma tu kama ambavyo Mdee anavyosemwa kuwa ni msagajiWewe ukweli kuhusu huyo tapeli muongo mzinzi mbaguzi na mwizi unaziona kelele kwa sababu umeamua kuukimbia ukweli.
Ukisoma sifa za mgombea ubunge hakuna sehemu inayosema wazinzi wasigombee, hajawahi kushtakiwa kwa wizi wala utapeli ivyo zinabaki kuwa shutuma tu kama ambavyo Mdee anavyosemwa kuwa ni msagaji
Ccm ni chama makini na ndio maana kwenye mchakato wa kura za maoni umeona idadi kubwa ya watu waliochukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali walikimbilia ccm na sio vyama vingine. Uoni kama huo ni uthibitisho kuwa wananchi bado wanaimani na ccm?Kwa sababu ni chama cha wahuni. Ccm ya Baba wa Taifa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU, gwajima na wengi wengine hata kuchukua fomu ya kugombea nafasi yoyote ile ndani ya maccm wasingethubutu kwani maadili yao ni SIFURI.
Ccm ni chama makini na ndio maana kwenye mchakato wa kura za maoni umeona idadi kubwa ya watu waliochukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali walikimbilia ccm na sio vyama vingine. Uoni kama huo ni uthibitisho kuwa wananchi bado wanaimani na ccm?
Ccm ni chama makini na ndio maana kwenye mchakato wa kura za maoni umeona idadi kubwa ya watu waliochukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali walikimbilia ccm na sio vyama vingine. Uoni kama huo ni uthibitisho kuwa wananchi bado wanaimani na ccm?
Ccm ni chama makini na ndio maana kwenye mchakato wa kura za maoni umeona idadi kubwa ya watu waliochukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali walikimbilia ccm na sio vyama vingine. Uoni kama huo ni uthibitisho kuwa wananchi bado wanaimani na ccm?
Gwajima anaahidi kwa kudai atatumia pesa zake mwenyewe.... huku akiwa tayari kashindwa kufanya hivyo kwa ahadi zake za kununua garimoshi.Nimekuwa nikiona baadhi ya members wakipiga sera na ahadi za Gwajima anazozitoa kwa wana Kawe kuwa hazitekelezeki kwa kigezo cha kushindwa kujenga jengo la kanisa lake.
Tukija upande wa pili tunaona pia CHADEMA nao wameshindwa kujenga jengo la ofisi yao kwa miaka mingi sana zaidi ya kuendeshea shughuli zao za kila siku kwenye servant quarter.
Sasa CHADEMA mtuambie ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa sababu hajajenga jengo la kanisa je mgombea wa urais anayetoka kwenye chama ambacho hakijajenga jengo la ofisi tunamchagua vipi?
View attachment 1568882
Magufuli alipitishwa kugombea mwaka 2015 baada ya kupitia mchujo mkali sana na matokeo yake tumeyaona wala hatuna haja ya kusema hapa kazi njema zilizofanyika.Chama makini hakiwezi kumpitisha boya kama huu eti aongoze Nchi.
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru