Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mr Nice
Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi
akachimbachimba akapata almasi
hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2
akatupa jembe lile akaenda mjini
kanunua moto car,sasa ni gariii.
Naam, Muheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano, nakusalimu kwa salamu yako
ukweli nimeona jitihada zako baada ya kuingia katika ulingo, japo nimeona umekuwa na tabia za Mwakinyo kila pambano unalopangiwa unakuwa unajikata fuse, okay si hoja na wala si ajabu but, hoja yangu ni kwamba mnawafundisha watoto wenu wa kitanzania kuhusu, kilimo, ardhi, elimu, miundombinu mkinasibisha na neno maendeleo.
Mkawafundisha historia ya Tanganyika vita ya Mjerumani, maneno ya Muingereza pamoja na biashara za Mwarabu, mkayanasibisha haya makutano na demokrasia.
Mbaya zaidi,t shirt bure tukabadilishana na jua kali la saa 7-12 katika kampeni zenu mkajinadi kuwa maendeleo yataletwa na demokrasia safi,mkaomba ridhaa ya kutuongoza kwa lengo la kupunguza gharama za maisha,kupunguza kiasi cha utegemezi na kushughulika miundombinu, huduma za jamii na ukuwaji wa teknolojia ila kinachonisikitisha kuwa bado CCM/BARAZA LA MAWAZIRI/TISS hamujaweza kutibu donda hili sugu ambalo ni upotevu wa kodi,kama dhahabu inapatikana ardhini why tushindwe kutengeneza mipango mikakati ya kukusanya kodi ili tuweze kujiendesha kama taifa?
Hivi seriously Rais kila siku yupo ughaibuni kwenda kuomba waongoza movies, kuomba misaada n.k wakati Watanzania tupo mil 60 ni soko kubwa la ndani hata nje lipo la kutosha, tunaishia kuomba omba hovyo?seriously/?//.
Ikiwa tunashindwa kujitosheleza kwa rasilimali zetu kama taifa basi, haina haja ya CCM Kubaki katika kuongoza taifa hili.