Ikiwa una tatizo la figo kushindwa kufanya kazi

Ikiwa una tatizo la figo kushindwa kufanya kazi

Joined
Jan 25, 2015
Posts
36
Reaction score
13
Ndugu zangu,

Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi. Ikiwa kuna mtu mwenye tatizo la figo kushindwa kufanya kazi na ameanza huduma ya kusafisha damu au hajaanza, basi nina furaha kuwajulisha kuwa tumaini lipo la kurudisha figo zako katika hali ya kawaida.

Ikiwa wewe, ndugu, jamaa au rafiki yako ana tatizo hili, niPM.
 
Si uanishe hapa hilo tumaini ni nini mkuu : maana ya kukwaa ni kuelemishana . Unaona mkuu Deception anavyotoa mada si mambo ya kupelekana PM
 
Mara Nyingi watu wanaokimbiliaga PM ili kusaidia tatizo fulani kama ww huwa tunawaitaga MATAPELI ila ww kwa leo sitakuita hivyo sababu siamini kama unaweza kuwa hivyo!hata hivyo nina imani ulipitiwa tu na utakuja na maelezo yaliyonyooka ili kuwasaidia watanzania wenzako
 
Back
Top Bottom