Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,311
Ikiwa unapenda kuolewa, lazima uolewe ndani ya miaka 2. Vyanzo vyote vinavyoaminika kama vile U.N na World Factbook vinaonyesha uwiano wa kimataifa wa Wanaume kwa Wanawake ni takriban 1:1.
Kwa maana kali, wanaume ni zaidi kidogo kuliko wanawake duniani leo. Kulingana na Umoja wa Mataifa, kufikia Desemba 2021, kulikuwa na wanaume wapatao milioni 44 zaidi ya wanawake katika idadi ya watu duniani.
Kwa wastani, wavulana 105 huzaliwa duniani kote kwa kila wasichana 100, au uwiano wa 21:20. Na kati ya watu wazima 1,000, tuna wanaume 504 na wanawake 496 - uwiano wa 63:62.
Kulingana na vyanzo hivyo wanaume ni wengi kuliko wanawake hivyo ule uzushi wa kusema kwamba wanaume ni wachache kuliko wanawake unatakiwa ufutwe mara moja.
Sio lazima kuolewa na mwanamume kutoka kijijini kwako ama mji au nchi unayoishi, tunaishi katika kijiji cha kimataifa (global village).
Wanaume wapo wengi ndani ya global village tusizubae, huu ni wakati wa kuvutia wanaume sahihi katika maisha yetu.
Mwanawake ambaye hujaolewa na huwezi kuridhika na chochote maishani mwako isipokuwa kuolewa na mwanamume uliyempenda na yeye akakupenda,huu ndio wakati wako wa kujipatia mume kutoka global village changamka wanaume wapo wengi kuliko wanawake.
Zunguka ndani ya global village nakwambia hutakosa wa kukuoa ndani ya miaka miwili.