Ikiwa wewe ni shabiki wa timu za Yanga, Real Madrid na ManU unajisikiaje wiki hii?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga goli 1-0, ushindi wa Athletic dhidi ya Real Madrid goli 1-0 na ushindi wa Arsenal dhidi ya Man U goli 2-1 wiki hii kama wewe ni shabiki wa timu hizo zilizofungwa unajisikiaje? Pole sana.
 
Unaweza Hata Ukashindwa Kudindisha Wiki Nzima!
 
Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga goli 1-0, ushindi wa Athletic dhidi ya Real Madrid goli 1-0 na ushindi wa Arsenal dhidi ya Man U goli 2-1 wiki hii kama wewe ni shabiki wa timu hizo zilizofungwa unajisikiaje? Pole sana.
Hapo kwa Yanga ndo niliumia sana, huko kwa wazungu kawaida tu...
Ila inauma........
 
Ikiwa umeanzisha thread. Alafu inapita siku nzima yaani masaa 24 waliochangia hawafiki watano 5.....!

Unajisikiaje katika hilo..?
tupe mrejesho.......!
 
Hahahaha........mshindonyuma unahitajika aiseh!!!!
 
Back
Top Bottom