Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga goli 1-0, ushindi wa Athletic dhidi ya Real Madrid goli 1-0 na ushindi wa Arsenal dhidi ya Man U goli 2-1 wiki hii kama wewe ni shabiki wa timu hizo zilizofungwa unajisikiaje? Pole sana.
Hapo kwa Yanga ndo niliumia sana, huko kwa wazungu kawaida tu...Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga goli 1-0, ushindi wa Athletic dhidi ya Real Madrid goli 1-0 na ushindi wa Arsenal dhidi ya Man U goli 2-1 wiki hii kama wewe ni shabiki wa timu hizo zilizofungwa unajisikiaje? Pole sana.
Hahahaha........mshindonyuma unahitajika aiseh!!!!Ikiwa umeanzisha thread. Alafu inapita siku nzima yaani masaa 24 waliochangia hawafiki watano 5.....!
Unajisikiaje katika hilo..?
tupe mrejesho.......!