Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Jan 10, 2011 #1 na wanyanyasaji kama huyu jamaa yatawakuta yanayotukuta WatZ tulio wengi wanyonge..
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Jan 10, 2011 #2 siwapendi watu hawa toka moyoni! SIJUI LINAMCHEKEA NANI!??? MANANIIII YAKO WEEEEEE SENZI!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Jan 10, 2011 #3 Duluma ni nini?
M Mike 1234 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 1,633 Reaction score 155 Jan 10, 2011 #4 MadameX said: Duluma ni nini? Click to expand... Kuchukua,kutumia kitu kisicho cha kwako na bila ridhaa ya mwenyewe na kukifanya mali yako,kuna tafsiri nyingi ila ya kwangu ndo hiyo
MadameX said: Duluma ni nini? Click to expand... Kuchukua,kutumia kitu kisicho cha kwako na bila ridhaa ya mwenyewe na kukifanya mali yako,kuna tafsiri nyingi ila ya kwangu ndo hiyo
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Jan 10, 2011 #5 Duluma au Dhuluma
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,178 Reaction score 80 Jan 10, 2011 #6 Duluma dhuluma that the matter of understanding mi nilivyoelewa alimaanisha dhuluma.Nawakilisha,tujadili ya msingi.
Duluma dhuluma that the matter of understanding mi nilivyoelewa alimaanisha dhuluma.Nawakilisha,tujadili ya msingi.
Bwaksi Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 125 Reaction score 4 Jan 10, 2011 #7 El Toro said: na wanyanyasaji kama huyu jamaa yatawakuta yanayotukuta WatZ tulio wengi wanyonge.. Click to expand... Ipo siku watakuja kuishi mtaani. Tutawatenga kama mstaafu flani wa jeshi la polisi. Hua akija vijiwe vya kahawa kwa lengo la kujichanganya na watu, anakimbiwa na kubaki peke yake!
El Toro said: na wanyanyasaji kama huyu jamaa yatawakuta yanayotukuta WatZ tulio wengi wanyonge.. Click to expand... Ipo siku watakuja kuishi mtaani. Tutawatenga kama mstaafu flani wa jeshi la polisi. Hua akija vijiwe vya kahawa kwa lengo la kujichanganya na watu, anakimbiwa na kubaki peke yake!