Iko Siku Tutaamka na Kusikia Wananchi Wameamua Kujichukulia Ikulu na Kuiongoza!


Said it all mkuu!
 
MTM salam,
Mkuu asante ya pili hii kwani umebainisha mengi hapo juu, ikiwa hayo yote yametushinda na hata kuwatetea MAALBINO na VIKONGWE!! ni kweli Ari na Ushupavu wa Kuchukua IKULU Vitabaki kuwa ndoto ya Alnacha/Mwendawazimu. Pamoja na yale tunayojali ni KILEVI na NJIA ZA MKATO ZA KUPATIA UTAJIRI. MTM Usiombe uhai ili ubebe bendera au Ngoma za Mapinduzi. MUNGU na akujalie uhai tuendelee kuishi kwa Amani na usalama. Tanzania tumezungukwa na mifano hai Kadhaa. Ole wetu tusisije Tukaunga Mlolongo.
 
Maadam umeweza kuyaona haya basi ndio mwanzo mwema, kwani leo tumekusoma wengi na kukubaliana nawe, kesho wataongezeka wengine na wengine hadi itafika tutafika hesabu kubwa. Na ndio siku wananchi wataanza moja moja kulikana ktk maisha yao..
Ajabu tu ni kwamba wakati wa mwalimu pamoja na matatizo ya kiuchumi tulokuwa nazo hesabu iliyopo hapo juu ni ndogo sana. Hivyo kuthibitisha kwamba tumepoteza mila na desturi zetu yaani leo hii hatuna dini kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…