hahaha, haya bhana yetu macho kwa hizi epsiodes za bureee...!!!! Unaweza tengeneza kipindi cha reality show cha hawa watu , watazamaji wakajaa kedekede... ukauza matangazo kedekede....!!!
labda walikua kwenye kuactkikovu na almas kwani bado?? juzi nilikuwa na hus maeneo ya bamaga na almas na aunt ezekiel walikuwa wanatoka ile hotel ya 'kebbys' pale bamaga, full makiss na kushikana kana kwamba wana uhusiano wa muda mrefu. nilichoka sana. so i doubt kama kikovu na diamond bado watakuwepo wakati vs itakapoanza.
Yaani huyu demu ni Kim Kardashan wa Bongo, ni public toilet, daladala, kuliko hata actresses wengine wa Bongo, we ingia, toka, wenzio watumie, khaa!
Asikwambie mtu... Wema these days mtako si mchezo....anatingisha ****....hata mm siwezi kukataa kula ile kitu kabeba, anatoa xtreme huyo.... namfukuzia leo
usinambie Wema ndio hadi anamuweka mjini Phd,kaamua kulea kabisa mtoto wa kike uyu..
Ila asikwambie mtu,Wema ana nyota ya ajabu sana yule bidada...ukikaa karibu nae lazima ung'ae sasa subiri kuona hii couple inavyong'aa....
siwezi kusubiri mpambano wa Diamond/kidoti vs Phd/Wema.