Iko wapi d9 clube

Iko wapi d9 clube

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,257
Habari za Jumapili watu wa Mungu.

Ni matumaini yangu mu wazima kabisa. Pole kwa yeyote mweye matatizo, ndio ubinaadamu. Niende kwenye mada.

Miaka kadhaa iliyopita tulipata kusikia kuhusu upatu unaitwa D9 Clubè na wengine tulifuatwa tuwekeze huko. Matomaso wengi kama mimi tukaogopa na kuacha kila kitu kiendelee tu kwa wanaotaka. Tukasema time will tell, ngoja tuone.

Sasa nimekuja hapa kutaka kujua, hii biashara ya upatu imeishia wapi? Siisikii ikitajwa tajwa sana siku hizi. Ndio kusema watu "wanapiga hela tu" au ukiona manyoya ujue keshaliwa?

Wakuu hebu tupeane ujuzi nini kimetokea.
 
BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club
 
Sahvi ni Zamu ya forex wao ndy wanachuma

Ova
 
Uzuri wa wabongo wakishalizwa huwa hawasemi kwa kuogopa kuchekwa .Wanakula jiwe kimyaaa
 
Ngoja wazee wa ma Brokers waje a.k.a wafuasi wa braza Ontario waje uone moto hapa!😉😉😉😉😉
 
Back
Top Bottom