Iko wapi fast ferries Lake Victoria?

Iko wapi fast ferries Lake Victoria?

Ndahani

Platinum Member
Joined
Jun 3, 2008
Posts
18,160
Reaction score
9,151
wadau naulizia kama kuna mtu anajua chochote kuhusu mradi unaoonekana kama umekufa wa boti ziendazo kasi Lake Victoria?Mbona kimya sana au wawekezaji wamebadili nia?
 
Hakuna cha kubadili nia, zilienda zikawa mbovu wakasingizia kuwa waliuziwa mafuta mabovu, kilichofuata ni kufungiwa na SUMATRA kwa kuwa kuna viwango fulani hawakuwa navyo, thereafter it is the HISTORY, bora maghufuli aliwakatalia, wangeleta uharibifu/usumbufu kwa boat amabazo zingefanya kazi kwa miezi miwili na kuwekwa juu ya mawe.
 
zimekuwa zonaelea tu ziwani victoria zikisubiri labda kuwa boti za uvuvi
 
Back
Top Bottom